Kis 210: Kiswahili Phonetics And Phonology Question Paper
Kis 210: Kiswahili Phonetics And Phonology
Course:Bachelor Of Education Arts
Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers
Exam Year:2015
(University Of Choice)
MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
(MMUST)
MAIN,KAIMOSI AND ALL CAMPUSES
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2015/2016 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR FIRST SEMISTER EXAMINATIONS
FOR THE DEGREE
OF
BACHELOR OF EDUCATION ARTS
COURSE CODE: KIS 210
COURSE TITLE: KISWAHILI PHONETICS AND PHONOLOGY
DATE: MONDAY 7TH DECEMBER, 2015 TIME: 2-5PM
INSTRUCTION TO CANDIDATES
Question ONE(1) is Compulsory
Answer FOUR (4) questions
TIME: 3 Hours
MMUST observes ZERO tolerance to examination cheating
This Paper Consists Of 2 Printed Pages. Please Turn Over
a) Eleza tofauti kati ya fonetikii na fonologia (Alama 5)
b) Yafafanue matawi yoyote manne ya fonetiki huku ukitumia mifano (Alama 10)
c)Jadili mbinu zozote tano zinazotumiwa katika kutambua fonimu na alofoni (Alama 10)
2. Eleza sababu na kanunizilizotumiwa katika kuundwa kwa AKIKI na uonyeshe upungufu wake katika unukuzi makinifu wa sauti za Kiswahili sanifu (Alama 15)
3. Jadili sifa bainifu zinazotumiwa katika uainishaji wa vokali za Kiswahili (Alama 15)
4. Huku ukitoa mifano mwafaka, pambanua mifanyiko inayoathiri sauti za konsonanti katika lugha ya Kiswahili (Alama 15)
5. Ukitumia mifano eleza dhana zifuatazo: (Alama 15)
(i) Foni
(ii) Fonimu
(iii) Alofoni
(iv) Shadda
6. Fafanua miundo yoyote saba ya silabi za Kiswahili (Alama 15)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes