Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
Shambani Lesson Plans: Grade 3 Kiswahili Activities
Class: Grade 3
Subject: Kiswahili
Level: Primary School
Category: Grade 3 Kiswahili Activities Lesson Plans
Document Type: Pdf and Docx
Number of Pages:
Price: KES: 50
Views: 1832
Downloads: 3
Lesson Plan Summary
Below is a brief overview of some of its content:
MADA: Shambani
MADA NDOGO: Msamiati Kusikiliza na kuzungumza Kusoma hadithi Sarufi Kuandika
MATOKEO MAALUMU YANAYOTARAJIWA:
Mwanafunzi aweze:
• Kueleza maana ya msamiati,
• Kutunga sentensi, kuchangamkia matumizi ya msamiati na nyakati,
• Kusoma hadithi na kuchora ramani dhana,
• Kuandika sentensi kwa hati nadhifu.
MASWALI DADISI:
Unaona nini katika picha?
Unafikiria utajifunza nini katika hadithi?
Je, ni mimea gani hupandwa shambani?
UMILISI WA KIMSINGI UNAOKUZWA: Mawasiliano na ushirikiano, hamu ya ujifunzaji
MAADILI: Uwajibikaji
UHUSIANO NA MASWALA, MTAMBUKO: Utangamano wa jamii
NYENZO:
Tusome mwongozo wa mwalimu 3 uk. 124
Tusome kitabu cha Mwanafunzi 3 uk. 106-107
Madaftari na Kalamu, chati, vifaa halisi
Mpangilio wa somo
Darasani katika vikundi/Kibinafsi
UTANGULIZI
Je, ni mimea gani hupandwa shambani?
UTARATIBU WA SOMO
Hatua ya 1: Msamiati
Mwalimu amwongoze Mwanafunzi kueleza maana ya msamiati na kuvitungia sentensi
Hatua ya 2: Kusoma hadithi
Mwalimu amwongoze Mwanafunzi kujadili picha na atoe utabiri kwa mwenzake,
Aisome hadithi na ajaze ramani dhana
Hatua ya 3: Sarufi
Mwalimu amwongoze Mwanafunzi kuandika sentensi katika wakati ujao
Hatua ya 4: Kuandika
Mwanafunzi aandike sentensi mbalimbali kwa hati nadhifu
HITIMISHO
Mwalimu asahihishe kazi ya Mwanafunzi. Mwalimu ampe Mwanafunzi nafasi ya kuuliza maswali ya ufafanuzi
Mwalimu ampe Mwanafunzi kazi ya ziada
MUHTASARI
Shambani ni mahali mnakopandwa mimea mbalimbali
Mapendekezo ya shughuli nyingine zilizoratibiwa za ujifunzaji: Mwanafunzi amweleze kuhusu mazao watakazo kuza shambani
Maoni
.............................
Below is the document preview. Purchase to access the complete document.
........
More Lesson Plans
View all lesson plans