Kiswahili Question Paper
Kiswahili
Course:Secondary Level
Institution: Kcse question papers
Exam Year:2012
102/1
KISWAILI
Karatasi ya 1
INSHA
Okt. / Nov. 2012
Muda: Saa 1 ¾
Maagizo
(a) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
(b) Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia.
(c) Kila insha isipungue maneno 400.
(d) Kila insha ina alama 20.
1. Lazima:
Wewe ni mkuu wa Baraza la Wanafunzi shuleni mwenu. Kumekuwa na visa vya wanafunzi kukiuka sheria za shule. Andika kumbukumbu za mkutano wa baraza hili ulifanyika kujadili suala hili.
2. Andika insha kuhusu umuhimu wa vijana katika kuimarisha mshikamano wa kitaifa.
3. Andika insha inayobainisha maana ya methali: Chombo cha kuzama hakuna usukani.
4. Tunga kisa kinachoanza kwa maneno yafuatayo:
Nilijaribu kuyafumbua macho yangu yaliyojaa uchovu kutokana na malimbikizo ya usingizi.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers