Nyamira-Kiswahili Paper 1 Question Paper
Nyamira-Kiswahili Paper 1
Course:Secondary Level
Institution: Mock question papers
Exam Year:2009
102 /1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
Julai/Agosti 2009
SAA: 1 ¾
NYAMIRA DISTRICT SECONDARY SCHOOLS
JOINT EVALUATION TEST - 2009
Hati ya Kuhitimu Cheti cha Elimu ya Sekondari
Maagizo:
Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
Chagua insha moja nyingine kati ya hizo tatu zilizosalia.
Kila insha isipungue maneno 400.
Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa 2 ambazo zimepigwa chapa.
Mtahiniwa anashauriwa kuhakikisha kurasa zote hizo zimepigwa chapa sawasawa.
1. Umechaguliwa kuwa katibu wa Chama cha Kiswahili shuleni. Andaa kumbukumbu za mkutano uliofanyika hivi majuzi ili kupanga mikakati ya kukiendeleza Kiswahili ndani na nje ya shule yenu.
2. Umealikwa kwenye mkutano wa amani katika Wilaya yenu ambapo Mkuu wa Wilaya na wabunge wamehudhuria. Andika hotuba aliyotoa Mkuu wa Wilaya.
3. Vita vya panzi furaha ya kunguru.
4. Tunga kisa kinachoishia kwa:
……………….Kabla ya hapo sikuwa nikijua kuwa ukabila na ufisadi ni hatari kwa umoja wa nchi.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers