Kiswahili Karatasi Ya 1 Insha Question Paper
Kiswahili Karatasi Ya 1 Insha
Course:Secondary Level
Institution: Mock question papers
Exam Year:2007
MTIHANI WA MWIGO – WILAYA YA TRANS- NZOIA - 2007
CHETI CHA ELIMU YA SEKONDARI KENYA.
Kiswahili
Karatasi 1
Julai / agosti 2007
MAAGIZO
_ Andika insha mbili ( 2 )
_ Insha ya kwanza ni ya LAZIMA. Kisha chagua insha nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
_ Kila insha isipungue maneno 400.
_ Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo
1. Andika hotuba utakayotoa katika mkutano wa kamati ya umoja wa mataifa unaofanyiwa
humu nchini kuhusu “ ELIMU YA BURE” katika shule za msingi.
2. Ufisadi umechangia ukosefu wa kazi kwa vijana nchini mwetu. Toa hoja zako za kupinga
au kuunga mkono kauli hii.
3. Hasidi mpe njia apite.
4. Fikira mbalimbali zilizunguka akilini mwangu, niliyokuwa nimeshuhudia yalitosha
kumithilishwa na uhayawani……..
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers