Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2011



102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
MUDA:saa 1 dakika45
THE KENYA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL
kenya Certificate of Secondary Education

Maagizo
1. Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
2. Kisha chagua insha moja nyingine kutoka kwa hizo tatu zilizobakia.
3. Kila insha isipungue maneno 400.
4. Kila ina alama 20.

Maswali
1. Insha ya lazima.
Wewe kama mwanafunzi umepata nafasi ya kumhoji Mkurugenzi wa Habari nchini kuhusu umuhimu wa magazeti kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Andika mahojiano hayo.
2. 'Magari ya matatu yameleta faida nyingi hapa nchini kuliko hasara''. Jadili.
3. Pele hupewa msi kucha.
4. Andika insha itakayomalizika jwa:
''Niliipapia ile bilauri ya maji kwa pupa. Sikuwa na uhakika kuwa kiu yangu ingekatika. Nikapiga mafunda mawili,matatu. Baada ya kugumia bilauri yote,ndipo nilipotambua kuwa kweli maji ni uhai''.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers