Kisw 111: Utangulizi Wa Lugha Na Isimu Question Paper

Kisw 111: Utangulizi Wa Lugha Na Isimu 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Kabarak University question papers

Exam Year:2011




KABARAK UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2011/2012 ACADEMIC YEAR
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION ARTS
KISW 111: UTANGULIZI WA LUGHA NA ISIMU
DAY: FRIDAY DATE: 03/08/2012
TIME: 9.00 – 11.00 A.M. STREAM: Y1S1

MAAGIZO: Jibu swali la Kwanza na mengine Mawili.
SEHEMU YA A
1. a) Fafanua dhana zifuatazo:
(i) Lugha
(ii) Isimu (alama 6)
b) Jadili sifa tano (bia) zinazohusishwa na lugha zote za ulimwengu. (alama 6)
c) Tolea idhibati ya usayansi wa isimu au Tolea usayansi wa isimu ithibati. (alama 6)
d) Toa ufafanuzi unaobainika katika nadharia za kimanzingira kuhusu asili ya lugha.
(alama 10)

2. Fafanua kazi tano za lugha. (alama 20)

3. Jadili aina tano za lugha. (alama 20)

4. Toa ufafanuzi wa matawi yafuatayo ya Isimu: (alama 20)
(i) Isimu jumlifu
(ii) Isimu fafanuzi
(iii) Isimu elekezi
(iv) Isimu linganishi
(v) Isimu jamii (alama 6

5. Fafanua dhana zifuatazo
(i) Umilisi
(ii) Utendaji
(iii) Pijini
(iv) Krioli (alama 20)
6. Eleza kwa tafsili umuhimu wa isimu katika jamii. (alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers