Kisw 320: Ushairi Na Drama Question Paper
Kisw 320: Ushairi Na Drama
Course:Bachelor Of Education(Arts) ()
Institution: Kabarak University question papers
Exam Year:2011
KABARAK UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2011/2012 ACADEMIC YEAR
FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF EDUCATION ARTS
KISW 320: USHAIRI NA DRAMA
DAY: WEDNESDAY DATE: 28/03/2012
TIME: 9.00 – 11.00 A.M. STREAM: Y3S2
MAAGIZO: Jibu Maswali Mawili. Swali la Kwanza ni la lazima.
Swali la Kwanza
Sehemu A
1. (a) Bainisha dhana zifuatazo:
(i) Drama
(ii) Sanaa za maonyesho (alama 5)
(b) Eleza kwa kifupi dhana zifuatazo kama zinavyotumiwa katika ushairi:
(i) Ukawafi
(ii) Msuko
(iii) Sakarani
(iv) Kikwamba (alama 10)
(c) Hakiki tofauti zilizopo baina ya shairi la S.A Mohammed na la Hassan
Mwalimu Mbega
(i) Kimuundo (alama 10)
(ii) Kimaudhui (alama 5)
Sehemu B
2. Piga chapa mashairi yaliyoambatishwa
(i) Tumaini – Hassan mwalimu mbega
(ii) Anudhi – Said A. Mohamed
3. (a) Fafanua dhana zifuatazo kama zinavyotumiwa katika sanaa ya maigizo kupitia
wasanii wafuatao:
(i) Mbinu ya ndani ya victor Stanislavisky
(ii) Mbinu ya usimulizi ya Bertolt Brecht (alama 10)
(b) Fafanua kwa kutoa mifano mwafaka aina zifuatazo za maigizo
(i) Sanaa ya Kibwege
(ii) Sanaa ya kimaksi (alama 10)
4. (a) Taja na ufafanue vipindi vine vikuu vinavyodhihirika katika historia ya ushairi
(alama 10)
(b) Huku ukitoa mifano mbalimbali, jadili dhana hizi kama zinavyotumiwa katika
ushairi;
(i) Mbinu za lugha
(ii) Maudhui
(iii) Umbo nje la ushairi
(iv) Umbo ndani la ushairi (alama 10)
5. ‘Sanaa ya maigizo ilikuwa imeimarika katika bara Afrika kabla ya majilio ya
fasihi andishi’. Thibitisha rai hii. (alama 20)
6. Onyesha jinzi njia zifuatazo za maigizo zinavyotofautiana kupitia uwasilishaji wa:
(a) Jukwaani (alama 10)
(b) Redioni (alama 5)
(c) Filamu/runinga (alama 5)
More Question Papers