Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Karatasi Ya Kiswahili Ya Kwanza (Mwigo Wa K.C.S.E.) Question Paper

Karatasi Ya Kiswahili Ya Kwanza (Mwigo Wa K.C.S.E.) 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2008



102/1

KARATASI 1

INSHA

MUDA:

MAAGIZO
*Andika insha mbili.Swali la kwanza ni lazima.
*Kisha changua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
*Kila insha isipungue maneno 400.
*Kila insha ina alama 20.

1.Andika mazungumzo kati ya mwalimu wa Kiswahili,mwanafunzi na mzazi wake kuhusu kuzorota kwa kazi na tabia potofu ya mwanafunzi huyo shuleni.
(Alama 20)
2.Kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
(Alama 20)
3.Usawa kati ya wanaume imekuwa ndoto kwa muda mrefu.Jadili mambo matano ambayo yamekuwa kikwazo katika jamii na jinsi ya kuyashughulika.
(Alama 20)
4.Taja na ueleze mambo matano ambayo ni vigezo muhimu katika kuimarisha umoja wa taifa.
(Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers