Kiswahili-102/1 (Shule Ya Upili Ya St.Mary) Question Paper
Kiswahili-102/1 (Shule Ya Upili Ya St.Mary)
Course:Secondary Level
Institution: Kcse question papers
Exam Year:2010
KISWAHILI
KARATASI-102/1
JULAI 2010
MUDA:
MAAGIZO
*Jibu maswali mawili.
*Swali la kwanza ni la lazima.
*Kisha changua swali nyingine kutoka hizo tatu zilizosalia.
*Kila insha isipungue maneno 400.
*Kila insha ina alama 20.
1.Umeshuhudia mtu akipigwa dafrau na gari katika barabara kuu ipitayo karibu na kwenu.
Baada ya dakika chache,afisa wa trafiki anafika na kuanza kukuhoji.Andika mahojiano hayo.
2.Siri ya mtungi aijua kata.
3.Afadhali kujilimbikizia elimu badala ya mali. Jadili.
4.Vijana wa siku hizi wanapaswa kufunzwa na kutilia maanani zaidi uadilifu.
Eleza maadili matano yanayopaswa kutiliwa mkazo zaidi.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes