Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kiswahili-102/1 Mtihani Wa Majaribio Question Paper

Kiswahili-102/1 Mtihani Wa Majaribio 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2009



KISWAHILI
KARATASI-102/1
INSHA
MUDA:

MAAGIZO
-Andika insha mbili.Swali la kwanza ni la lazima.
-Kisha changua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
-Kila insha isipungue maneno 400.
-Kila insha ina alama 20.

1.Umechukizwa na jinsi watu wanavyotupa taka ovyo katika mtaa wenu;jambo ambalo limesababisha mkurupuko wa magonjwa na matatizo mengine.Mwandikie barua mhariri wa gazeti la Taifa leo kuhusu tatizo hilo na jinsi ya kulishughulika.
(Alama 20)
2.Gogo la mbuyu si la mvule.
(Alama 20)
3.Andika insha itakayomalizikia:
"........Zima moto waliwasili saa tatu baadaye.Uharibifu wa mali na maisha ulikuwa umeshatoka wala mjo wao haukusaidia chochote."
(Alama 20)
4.Je,unafikiri kuhifadhi vyombo vya kale na majengo kuna umuhimu kwetu? Toa maoni.
(Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers