Aks 202: Communication Skills In Kiswahili Question Paper
Aks 202: Communication Skills In Kiswahili
Course:Bachelor Of Education Arts
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2009
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 202: COMMUNICATION SKILLS IN KISWAHILI
DATE: FRIDAY 28TH AUGUST, 2009 TIME: 2.00PM-4.00PM
MAAGIZO
JIBU MASWALI MATATU.
1. “ Dhima ya Kiswahili ni zaidi ya matumizi yake katika mawasiliano” Fafanua
na utoe mifano faafu.
2. Imesemekana kuwa matumizi ya ‘sms’ katika simu tamba na uandishi wa
barua pepe yameathiri mbinu bora za uandishi wa insha. Tathmini dai hili.
3. Jadili kwa tafsili nadharia mbili za chimbuko la lugha ya binadamu.
4. Fafanua dhima ya tahariri na tahakiki na jinsi zinavyotekelezwa.
5. Eleza na utoe ithibati jinsi utandawazi unavyokuza Kiswahili kama lugha ya
mawasiliano.
6. Jadili jinsi tafsiri inavyodhihirika kama chombo cha mawasiliano.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers