Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Borabu/Masaba North District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Borabu/Masaba North District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2012



Jina…………………………………… Nambari yako………………………………/………
Shule………………………………….. Tarehe ….…………………………………………….
Sahihi yako…….………………………
102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
(INSHA)
JULAI /AGOSTI- 2012
MUDA: SAA 1 ¾
TATHMINI YA PAMOJA YA WILAYA ZA BORABU NA MASABA KASKAZINI- 2012
Cheti cha Kuhitimu Elimu ya Sekondari
102/1
KISWAHILI
Karatasi ya 1
(INSHA)
JUNI / JULAI - 2011
MUDA: SAA 1 ¾
MAAGIZO
1. Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima
2. Chagua insha nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki
3. Kila insha isipungue maneno 400
4. Kila insha ina alama 20
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa ni lazima wahakikishe kuwa kurasa zote za karatasi ya mtihani zimepigwa chapa sawa sawa
na kuwa maswali yote yamo
1. Wewe ni katibu wa jopo lililoteuliwa kuchunguza changamoto zinazokabili elimu bila malipo katika nchi
yako. Andika ripoti hiyo.
2. Andika insha kuhusu jinsi serikali na jamii inavyochangia kuondoa umaskini nchini.
3. Mchama ago hanyeli huenda akauya papo.
4. Andika kisa kitakachomalizikia kwa maneno haya:
……………..nilipiga magoti chini na kumshukuru Maulana kwa kuyaanusuru maisha yangu.
MWISHO






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers