Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Rachuonyo South District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Rachuonyo South District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................
Tarehe: …………….....................................................................……
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
JULIA /AGOSTI 2011
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
MAAGIZO:
• Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20 .
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na
kuwa maswali yote yamo.
1. Halmashauri ya utunzi wa mitihani nchini imewatahadharisha watahiniwa dhidi ya
undanganyifu katika mitihani ya kitaifa. Andika tahadhari hiyo na hatua
zitakazochukuliwa dhidi ya watakaozikiuka.
2. Usalama wa wananchi ni jambo linalofaa kuzingatiwa.Fafanua ukirejelea nchi yako.
3. Zinguo la utukutu ni ufito.
4. Serikali za majimbo zitawafaa wananchi wote. Fafanua.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers