Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Mutomo/Ikutha Districts Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Mutomo/Ikutha Districts Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



JINA: .......................................................................... NAMBA YAKO: ...................................
SHULE: …………….................................................... TAREHE: ...............................................
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
MUDA: SAA 1¾
TATHMINI LA PAMOJA WILAYA YA MUTOMO / IKUTHA - 2011
Cheti Cha Kuhitimu Masomo ya Sekondari Kenya (K.C.S.E)
KISWAHILI
KARATASI YA 1
INSHA
MUDA: SAA 1¾
MAAGIZO
(i) Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni lazima.
(ii) Kisha chagua insha nyingine moja kutoka hizo zilizobakia.
(iii) Kila insha isipungue maneno mia nne (400).
(iv) Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa mbili. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa
na kwa maswali yote yamo.
1. Swala la ufisadi limekuwa tatizo sugu katika jamii ya Kenya. Andika mahojiano kati ya
mwenyeketi wa tume ya kupambana na ufisadi nchini na mwandishi wa habari juu ya
mbinu za kupambana na ufisadi.
2. Eleza jinsi vijana katika kijiji chako wanavyojihusisha katika ujenzi wa taifa.
3. Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga.
4. Japo wenzangu waliniita mwanaharamu, nilikuwa na hakika kama mauti kuwa siku moja
ningeipa buriani hali hii………….. endeleza insha hii.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers