Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Nyahururu District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Nyahururu District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2010



102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI YA KWANZA
JULAI/AGOSTI 2010
SAA 1 ¾
TATHMINI YA PAMOJA YA WILAYA YA NYAHURURU – 2010
Hati Ya Kuhitimu Kisomo Cha Sekondari Kenya (K.C.S.E.)
102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI YA KWANZA
JULAI/AGOSTI 2010
SAA 1 ¾
MAAGIZO:
1. Andika insha MBILI.
2. Insha ya kwanza ni ya lazima
3. Kisha chagua insha moja kati ya tatu zilizosalia.
4. Kila insha isipungue maneno 400
5. Kila insha ina alama 20
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
Watahiniwa wanastahili kuona kuwa maswali yote yako na hakuna yaliyooachwa.
SWALI LA LAZIMA
1. Wewe kama mwandishi wa habari wa shirika fulani la utangazaji nchini, andika mahojiano yako na waziri wa Usalama wa ndani kuhusu utovu wa usalama nchini.
2. Mui huwa mwema.
3. Uhifadhi wa mazingira una manufaa mengi kwa binadamu.
4. Andika insha itakayomalizia kwa......................... aliyesema siku njema huonekana asubuhi alipotosha si haba.
MWISHO






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers