Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Nyamira District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Nyamira District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2010



102/1
KISWAHILI
INSHA
KARATASI 1
JULAI / AGOSTI - 2010
MUDA: SAA 1 ¾
TATHMINI LA PAMOJA WILAYA YA BUTULA – 2010
Hati ya Kuhitimu Kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E.)
102/1
KISWAHILI
INSHA
JULAI / AGOSTI - 2010
MUDA: SAA 1 ¾
MAAGIZO
1. Andika insha mbili pekee. Swali la kwanza ni la lazima.
2. Kisha chagua insha moja nyingine kutoka kwa hizo tatu zilizobakia.
3. Kila insha isipungue maneno 400.
4. Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa.
Hakikisha kurasa zote zimepigwa chapa sawasawa na maswali yote yamo.
1. Umeteuliwa kama katibu wa tume ya uchunguzi kuhusu vyanzo vya baa la njaa nchini Kenya.
Andika ripoti yako.
2. Ufisadi umekuwa saratani katika nchi nyingi zinazoendelea barani Afrika. Jadili mifano
mbalimbali ya janga hili na jinsi ya kulitatua.
3. Mchumia juani hulia kivulini.
4. Mlango wa nyuma ulibishwa mara tatu, Ngo! Ngo! Ngo!. Kufungua tu, nikasikia sauti, “ Lala
chini......................” (Endelea).
MWISHO






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers