Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kakamega East District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kakamega East District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Sahihi .................................... ………………………………………. Tarehe: ……………..................
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA 1
JULAI /AGOSTI 2011
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
MAAGIZO:
• Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20 .
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Umeteuliwa katibu wa kamati inayochunguza chanzo cha matokeo mabaya katika wilaya ya Jijenge.
Andika ripoti hiyo.
2. Sikio la kufa halisikii dawa.
3. Kutokana na utafiti uliofanywa, ukabila ndio adui mkubwa wa nchi yetu ya Kenya. Jadili.
4. Buum! Mlipuko huo ulitapakaza vifuzi kote. Wingu jeusi la moshi lilitanda…. Iendeleze insha hii.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers