Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Sotik District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Sotik District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina: …………………………………………………………………… Nambari: ………...………
Shule: ………………………………………………………………. Sahihi ....................................
Tarehe: …………….....................................................................……
102/1
KISWAHILI INSHA
KARATASI YA 1
JULAI /AGOSTI 2011
MUDA: SAA 1 ¾
Hati ya kuhitimu kisomo cha Sekondari Kenya (K.C.S.E)
Kiswahili
Insha
MAAGIZO:
• Andika Insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Swali la kwanza ni na lazima.
• Chagua insha ya pili kutoka hizo tatu zilizobaki.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20 .
Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Wewe ni waziri wa fedha serikalini. Umetembelewa na mwenyekiti wa chama cha kutetea maslahi
ya umma kuhojiwa kuhusu kuzorota kwa uchumi wa taifa. Andika mahojiano hayo huku ukizingatia
sababu za kuzorota kwa uchumi na njia za kuimarisha uchumi.
2. Mti mkuu ukigwa wana wa ndege huyumba.
3. Vijana wa kisasa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali za maisha. Fafanua huku ukipendekeza
hatua zifaazo kuchukuliwa ili kuzikabili changamoto hizo.
4. Andika kisa kitakachoishia kwa:
…..hakuna aliyeamini Chebet angefanya kitendo kama hicho!






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers