Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Masaku District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Masaku District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2011



Jina _____________________________________ Nambari ____________________
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA I
INSHA
JULAI / AGOSTI 2011
SAA: 1 ¾
MJARABU WA KIDATO CHA NNE MUHULA WA PILI 2011 WILAYA YA
MASAKU
Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari
KISWAHILI
KARATASI YA 1
SAA: 1 ¾
MAAGIZO
1. Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
2. Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
3. Kila insha isipungue maneno 400.
4. Kila insha ina alama 20.
Kijitabu hiki kina kurasa 2 ambazo zimepigwa chapa
Fungua ukurasa
MASWALI
1. Wewe ni Mwanahabari katika shirika la KTV. Andika mahojiano kati yako na
waziri wa kilimo nchini
kuhusu athari za baa la njaa na hatua zinazochukuliwa na serikali katika
kukabiliana na tatizo hili
2. Usione tanga la njaa ukasahau la miyaa.
3. Serikali imeunda hazina ya vijana ambayo lengo lake ni kuvipa vikundi vya
vijana misaada ya
kifedha ili wajiajiri katika miradi kabambe, Pendekeza jinsi wewe na kundi lako
mtatumia msaada
huo mkipewa.
4. Andika insha itakayomalizia kwa
……………………….. Moshi ulifurika anga nzima kumbe unyama umewatoka
wanyama na kuwaingia watu.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers