Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kisumu District Mock- Kiswahili Paper 1 Question Paper

Kisumu District Mock- Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2007



102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI / AGOSTI 2007
MUDA: SAA 1 ¾
JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA WILAYA YA
KISUMU 2007
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI
KISWAHILI
KARATASI YAKWANZA
INSHA
JULAI / AGOSTI 2007
MUDA: SAA 1 ¾
MAAGIZO
 Andika insha mbili.
 Insha ya kwanza ni ya LAZIMA.
 Kisha chagua insha moja nyingine kutoka hizo tatu zilizobakia.
 Kila insha isipungue maneno 400.
 Kila insha ina alama 20.
1. Andika barua kwa mhariri wa gazeti la mwangaza ukimweleza athari za ajira ya watoto
majijini. (Alama 20)
2. Tatizo la njaa ni msiba wa kujitakia. Jadili. (Alama 20)
3. Mzaha mzaha hutumbukia usaha. (Alama 20
4. Andika insha itakayomalizikia maneno yafuatayo. (Alama20)
…ndiyo maana nimeapa abadan katan kwamba usiku siwezi kumfungulia mlango yeyote
Nisiyemjua.






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers