Nyamira District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper
Nyamira District Mock - Kiswahili Paper 1
Course:Secondary Level
Institution: Mock question papers
Exam Year:2007
102 / 1
KISWAHILI INSHA
JULAI-AGOSTI 2007.
MUDA SAA 1 ¾
WILAYA YA NYAMIRA MTIHANI WA MWIGO - 2007
Hati ya kuhitimu Elimu ya Sekondari. (K.C.S.E.)
MAAGIZO KWA MTAHINIWA.
• Andika insha mbili.
• Insha ya kwanza ni ya lazima.
• Kisha chagua moja kutoka kwa nambari 2,3 na 4.
• Kila insha isipungue maneno 400.
• Kila insha ina alama 20.
Watahiniwa lazima wahakikishe kurasa zote zimepigwa chapa sawa sawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Usalama umezorota katika kijiji chako. Andika barua kwa Mkuu wa Wilaya
kupitia kwa chifu wa kata yako ukipendekeza kwa kukabiliana na tatizo hilo.
2. Usipoziba ufa utajenga ukuta.
3. Mwanamke bado anadunishwa nchini Kenya Jadili.
4. Andika insha itakayoanza kwa: Asubuhi hiyo nilishangaa Mwalimu Mkuu
aliponiita na kuniamuru nifunganye….
Mwisho
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers