Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Bomet District Mock - Kiswahili Paper 1 Question Paper

Bomet District Mock - Kiswahili Paper 1 

Course:Secondary Level

Institution: Mock question papers

Exam Year:2008



102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
JULAI / AGOSTI 2008
MUDA: SAA 1 ¾
JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA WILAYA YA
BOMET 2008
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI KENYA
(K.C.S.E)
102 /1
KISWAHILI
KARATASI 1
INSHA
MAAGIZO
 Andika Insha mbili. Swala la kwanza ni lazima.
 Kisha chagua nyingine kutoka hizo tatu zilizobaki.
 Kila insha isipungue maneno 400.
 Kila insha ina alama 20.
Karatasi hii ina kurasa mbili zilizopigwa chapa. Mtahiniwa ahakikishe kwamba kurasa zote zimepigwa
chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.
1. Wewe ni katibu wa kamati ya usalama katika mtaa wako. Andika kumbukumbu za mkutano
uliofanywa hivi karibuni kuzungumzia swala la kuzorota kwa usalama.
2. Mwenye shoka hakosi kuni.
2
3. Serikali imetoa elimu ya bure katika shule za upili humu nchini. Jadili athari zake.
4. Andika insha itakayoisha kwa maneno yafuatayo:
…………….nilipogutuka niliangaza macho huku na kule. Aah! Kumbe nilikuwa nikiota!






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers