Aks 202: Language Skills In Kiswahili Ii Question Paper
Aks 202: Language Skills In Kiswahili Ii
Course:Bachelor Of Education Arts In Kiswahili And Geography
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2009
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR
OF ARTS AND BACHELOR OF EDUCATION
AKS 202: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI II
DATE: Friday 18th September 2009 TIME: 2.00pm-4.00pm
MAAGIZO
JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI
1. Tafsiri kama mbinu ya mawasiliano ina mchango mkubwa katika maendeleo ya
elimu na utengamano wa jamii. Jadili na utoe mifano.
2. Kwa kuzingatia sifa maalumu jadili dhana za tahariri na tahakiki
3. Tathmini dai kuwa matumizi ya lugha ya mkato katika ‘SMS’ na barua pepe
yameathiri Kiswahili katika mazumgumzo na maandishi.
4. Chambua natharia mbili ya chimbuko la lugha kwa ukamilifu wake. Toa mifano
mwafaka.
5. Fafanua vipengele vyapendekezo la utafiti vifuatavyo kikamilifu
a) mada
b) yaliyoandikiwa kuhusu mada
c) utangulizi (usuli) wa utafiti.
6. Fafanua sifa nne za lugha ya binadamu kama zinavyoelezwa na wataalamu
mbalimbali.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers