Aks 203: Introduction To Theory And Practice Of Translation Question Paper

Aks 203: Introduction To Theory And Practice Of Translation 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2008



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2007/2008
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
SUPPLEMENTARY/SPECIAL EXAMINATION FOR THE DEGREE OF
BACHELOR OF EDUCATION
AKS 203: INTRODUCTION TO THEORY AND PRACTICE OF TRANSLATION
DATE: Monday 6th October 2008 ___________TIME: 3.00pm – 5.00pm
MAAGIZO: JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI
1. Tafsiri makala iliyoambatanishwa kwa Kiswahili sanifu.
2. Eleza historia ya taaluma ya tafsiri.
3. Kupitia mifano mahususi, bainisha matatizo ya tafsiri.
4. Fafanua hatua mahususi za mchakato wa kutafsiri.
5. “Uchambuzi ni hatua mojawapo muhimu inayofanikisha shughuli ya kutafsiri”.
Eleza.
6. Jadili udhaifu na umuhimu wa kila mojawapo ya aina za kutafsiri.
=========






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers