Aks 301: Kiswahili Structure Question Paper
Aks 301: Kiswahili Structure
Course:Bachelor Of Education In Kiswahili
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2009
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR
OF EDUCATION
AKS 301: KISWAHILI STRUCTURE
=================================================================
DATE: WEDNESDAY 12TH AUGUST 2009 TIME: 8.00 A.M. – 10.00 A.M.
MAAGIZO
Jibu Maswali yoyote MATATU.
1. Eleza maana na utoe mifano ya:
a) Neno
b) Viwakilishi
c) Mzizi
d) Virai
2. a) Eleza maana na umunimu wa sentensi ya Kiswahili.
b) Fafanua maumbo ya sentensi yanayodhihirika kama:
i) amri
ii) Swali
iii) Mshangao
3. Fafanua mitazamo mbali mbali kuhusu dhana ya lugha na uonyeshe umuhimu wake
katika sarufi ya Kiswahili.
4. Eleza maana ya mofolojia na utoe mifano ya aina tatu za mofimu.
5. Taja na ufafanue njia NNE kuu za kuainisha konsonanti za Kiswahili.
6. Jadili umuhimu na matumizi mbali mbali ya kitenzi cha Kiswahili.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers