Aks 301: Kiswahili Structure Question Paper
Aks 301: Kiswahili Structure
Course:Bachelor Of Education
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2010
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2008/2009
INSTITUTE OF OPEN LEARNING
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 301: KISWAHILI STRUCTURE
=================================================================
DATE: THURSDAY 18TH FEBRUARY 2010 TIME: 2.00 P.M – 400 P.M.
MAAGIZO
Jibu Maswali MATATU
Swali La Kwanza ni La Lazima
1. Fafanua nadharia ya Lugha ya John Hughes (1967) kuwa: "Lugha ni mfumo
wa nasibu wa alama za sauti ambao husafirisha fikra kutoka mtu mmoja hadi
mwingine".
2. Fafanua vipashio vifuatavyo vya lugha:
a) Neno
b) Kikundi – jina
c) Kishari
3. Kwa kutunga sentensi sahihi za Kiswahili, onyesha nafasi na matumizi ya:
a) Kitenzi
b) Shamirisho
c) Kishazi
4. Eleza maana ya mofimu na ubainishe aina tatu za mofimu.
5. Bainisha viambishi kanushi vya vitenzi katika nyakati mbalimbali.
6. Fafanua dhana ya "upatanisho wa Kisanifu" kwa kuzingatia vivumishi na viwakilishi
vya kiswahili.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers