Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Language Skills In Kiswahili Question Paper

Language Skills In Kiswahili 

Course: Bachelor Of Education Primary Education

Institution: Mount Kenya University question papers

Exam Year:2013



MOUNT KENYA UNIVERSITY
SCHOOL OF SOCIAL SCIENCES
DEPARTMENT OF LANGUAGES

BACHELOR OF EDUCATION

SCHOOL BASED

MAAGIZO:
JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI KATIKA SEHEMU YA B

SEHEMU YA A:

1.a) Fafanua sifa tatu za lugha ya binadamu. (Alama 3)

b). Eleza mfano uliopo kati ya mawasiliano ya kimazungumzo na mawasiliano ya kimaandishi. (Alama 3)

c). Bainisha vikwazo vitatu vya mawasiliano ya kimaandishi. (Alama 3)

d). Pambanua faida za mawasiliano ya kieletroniki. (Alama 3)

e). Onyesha sifa bayana tatu za sajili ya kidini. (Alama 3)

f). Taja aina mbili kuu za insha. (Alama 3)

g). Eleza sehemu zozote tatu muhimu za kumbukumbu. (Alama 3)

h). Fafanua sifa tata za mazungumzo rasmi. (Alama 3)

i). Fafanua sababu zinazosababisha tafsiri kuwa potovu. (Alama 3)

j). Pendekezo la utafiti ni nini. (Alama 3)

SEHEMU YA B:

2. Huku ukitoa mifano, eleza kwa kina sifa bainifu za mawasiliano ya kimazungumzo. (Alama 20)

3. "Uandishi wa insha humpa mwanafunzi fursa maridhawa ya kukuza lugha." Thibitisha kauli hii. (Alama 20)

4. Kwa kutoa mifano mwafaka, eleza umuhimu wa utafiti wa kiakademia. (Alama 20)

5. Jadili mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa na mtafsiri katika shughuli ya utafsiri. (Alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers