Aks 203 Introduction To Theory And Practice Of Translation Question Paper
Aks 203 Introduction To Theory And Practice Of Translation
Course:Bachelor Of Education Arts
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2010
1.Matatizo ya kutafsiri ni ya kitamaduni jadili?
2.Ni nini maana ya nadharia ya tafsiri?
(b) bainisha malengo na utendakazi wake.
3.Tafsiri ni taaluma ya kiisimu? Toa maoni yako?
4.Tatizo mojawapo kuu huwa ni ukosefu wa msamiati na istilahi onyesha mbinu zinazoweza kutumiwa kutatua tatizo hili.
5.Bainisha hatua muhimu zinazozingatiwa katika kutafsiri makala ya aina yoyote.
6.Tafsiri ni fasiri jadili?
7.Ufanisi wa tafsiri hutegemea aina zote za tafsiri fafanua.
8.Fafanua daraja muhimu zinazozingatiwa katika kuchambua matini cha asili na uonyeshe jinsi zinavyochangia kufikia mawasiliano katika tafsri.
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers