Kisw 222:Mbinu Za Lugha Katika Kiswahili Question Paper
Kisw 222:Mbinu Za Lugha Katika Kiswahili
Course:Elimu
Institution: Kenya Methodist University question papers
Exam Year:2013
CHUO KIKUU CHA KIMETHODISTI, KENYA
MTIHANI WA MWISHO WA TREMESTA YA PILI, 2013
(MASOMO YA LIKIZO)
KITIVO : ELIMU NA SAYANSI YA JAMII
IDARA : ELIMU
KODI : KISW 222/KISW 024
ANWANI : MBINU ZA LUGHA KATIKA KISWAHILI
MUDA : SAA MBILI
Maagizo:
Jibu maswali yoyote matatu
Swali la Kwanza
Eleza dhana zifuatazo na utolee mifano mwafaka.
Shada
Kimbo
Kidatu
Ritifaa
Mkazo
(al. 15)
Weka shada katika silabi zifuatazo
Mama
Sanduku
Kitabu
Tulikotoka
(al. 5)
Swali la Pili
Eleza maana ya uakifishaji.
(al. 5)
Eleza taratibu za kusoma na kufahamu
(al. 10)
Swali la Tatu
Kwa kutoa mifano inayotosheleza, fafanua mambo manne ya kuzingatia katika uandishi wa Insha. (al. 20)
Swali la Nne
Onyesha matumizi ya viwakifishi vifuatavyo ukitoa mifano katika sentensi.
Kitone
Kiulizio
Nukta mkato
Nukta mbili
(al. 20)
Sura la Tano
Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza aina zozote tano za Insha za kidhamira. (20 marks)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers