Kisw 321:Mbinu Za Utafiti Question Paper
Kisw 321:Mbinu Za Utafiti
Course:Elimu
Institution: Kenya Methodist University question papers
Exam Year:2013
CHUO KIKUU CHA KIMETHODISTI, KENYA
MTIHANI WA MWISHO WA TREMESTA YA PILI, 2013
(MASOMO YA LIKIZO)
KITIVO : ELIMU NA SAYANSI YA JAMII
IDARA : ELIMU
KODI : KISW 321
ANWANI : MBINU ZA UTAFITI
MUDA : SAA MBILI
Maagizo:
Jibu maswali matatu
Swali la Kwanza
Utafiti ni nini?
(al. 2)
Eleza aina mbili kuu za utafiti.
(al. 8)
Fafanua matayarisho anayopaswa kuzingatia mtafiti kabla ya kwenda nyanjani.
(al. 10)
Swali la Pili
Bainisha jukumu la utafiti katika jamii.
(al. 12)
Fafanua sifa nne kuu za utafiti.
(al. 8)
Swali la Tatu
Jadili matatizo yanayoweza kumkabili mtafiti nyanjani.
(al. 10)
Taja na ueleze vifaa vya utafiti wa kiusomi.
(al. 10)
Swali la Nne
Linganisha na ulinganue utafiti wa nyanjani na wa maktabani ukitoa mifano mwafaka. (al. 20)
Swali la Tano
Pendekezo la utafiti lina sehemu kadha muhimu. Zitaje na uzifafanue kwa kuzitolea mifano. (al. 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers