Lswa 205:Mofolojia Ya Kiswahili Question Paper
Lswa 205:Mofolojia Ya Kiswahili
Course:Elimu
Institution: Kenya Methodist University question papers
Exam Year:2012
CHUO KIKUU CHA KIMETHODISTI, KENYA
MTIHANI WA MWISHO WA TREMESTA YA PILI, 2012
(MCHANA)
KITIVO : ELIMU NA SAYANSI YA JAMII
IDARA : ELIMU
KODI : LSWA 205
ANWANI : MOFOLOJIA YA KISWAHILI
MUDA : SAA MBILI
Maagizo:
Swali la Kwanza
Fafanua dhana ya mofolojia
Swali la Pili
Huku mkitoa mifano, fafanua dha zifuatazo
Mofu tata
(Al. 5)
Mofu changamano
(Al. 5)
Mofu mzizi
(Al. 5)
Mofimu
(Al. 5)
Swali la Tatu
Fafanua vielezi vya Kiswahili, huku ukitoa mifano mwafaka. (Al. 20)
Swali la Nne
Huku ukitoa mifano mwafaka, ainisha ngeli za nomino za Kiswahili kimofolojia. (Al. 20)
Swali la Tano
Jadili viwakilishi vya Kiswahili, huku ukitoa mifano mwafaka. (Al. 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers