Lswa 105:Historia Ya Kiswahili Question Paper
Lswa 105:Historia Ya Kiswahili
Course:Elimu
Institution: Kenya Methodist University question papers
Exam Year:2011
FACULTY : EDUCATION & SOCIAL SCIENCES
DEPARTMENT : EDUCATION AND PRE-UNIVERSITY
TIME : 2 HOURS
MAAGIZO Jibu maswali MATATU swali la KWANZA ni la LAZIMA
Swali 1
a) Taja nadharia tatu mahususi zinazorejelea chanzo cha Kiswahili (alama3)
b) Taja na utofautishe asili tatu za waswahili (alama6)
c) Elezea vigezo saba vilivyotumika kumtambulisha mswahili (alama14)
Swali 2
a) Huku ukitoa mifano mwafaka kutoka lahaja za Kiswahili, fafanua aina nne tofauti zinazojitokeza katika lahaja za lugha moja (alama8)
b) Taja lahaja zozote tano za Kiswahili na uonyeshe mahali zinapopatikana katika mwambao wa Afrika Mashariki (alama10)
Swali 3
Bainisha sababu zozote sita zilizoimarisha maenezi ya Kiswahili nchini Tanzania (alama18)
Swali 4
Pambanua hoja zozote sita zinazodhihirisha umuhimu wa Kiswahili katika kutekeleza nadhumuni ya taifa la Kenya (alama18)
Swali 5
Tathmini hoja zozote sita zinazoipa lugha ya Kiswahili nafasi ya kati katika kutekeleza madhumuni ya muungano wa jumuiya ya Afrika Mashariki. (alama18)
More Question Papers