Mtihani Wa Master Of Arts Kisw 703: Isimu Jamii (Social Linguistics)I Question Paper
Mtihani Wa Master Of Arts Kisw 703: Isimu Jamii (Social Linguistics)I
Course:Masters Of Arts In Kiswahili
Institution: Chuka University question papers
Exam Year:2013
CHUKA
UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
EMBU CAMPUS
MTIHANI WA MASTER OF ARTS
KISW 703: ISIMU JAMII (SOCIAL LINGUISTICS)
STREAMS: MA (SCHOOL BASED) SAA: 3 HOURS
SIKU/TAREHE: WEDNESDAY 17/4/2013 8.30 AM – 1030 AM
MAAGIZO:
JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI.
1. (a) Fafanua dhana zifuatazo:-
(i) Isimu jamii [Alama 2]
(ii) Mtagusano wa lugha [Alama 2]
(iii) Jamii lugha [Alama 2]
(iv) Upangaji lugha [Alama 2]
(v) Ulumbi. [Alama 2]
(b) Fafafunua mambo yoyote kumi yanayoathiri matumizi ya lugha katika jamii [Alama 20]
2. Bainisha washikadau kumi katika shughuli ya upangaji lugha na umuhimu wa kuwashirikisha katika shughuli hiyo. [Alama 20]
3. (a) Eleza dhana ya uwili lugha. [Alama 2]
(b) Fafanua athari za uwili lugha katika mawailiano ya kijamii. [Alama 14]
(c) Eleza mambo yoyote manne yanayosababisha uwili lugha. [Alama 14]
4. Eleza tofauti iliyopo kati ya:
(a) Krioli na pijini [Alama 2]
(b) Fafanua sera ya lugha nchini Kenya baada ya kupitishwa kwa katiba mpya (2009). [Alama 14]
(c) Eleza mambo yoyote manne ambayo yanaweza kuchangia kufa kwa lugha.
[Alama 4]
5. Pambanua sifa za sajili ya biashara. [Alama 20]
6. Fafanua matatizo yaliyotinga utekelezaji wa mipango ya lugha nchini Kenya baada ya uhuru (1964). [Alama 20]
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
More Question Papers
Exams With Marking Schemes