Kisw 711: Historia Na Maendeleo Ya Kisasa Ya Kiswahili Question Paper
Kisw 711: Historia Na Maendeleo Ya Kisasa Ya Kiswahili
Course:Masters Of Arts In Kiswahili
Institution: Chuka University question papers
Exam Year:2013
CHUKA
UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS
MTIHANI WA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UZAMILI
KISW 711: HISTORIA NA MAENDELEO YA KISASA YA KISWAHILI
STREAMS: M.A (KISW) SAA: 3 HOURS
SIKU/TAREHE: WEDNESDAY 17/4/2013 11.30 AM – 2.30 PM
MAAGIZO:
JIBU MASWALI MATATU
1. Huku ukitoa ushahidi wa kiisimu na kihistoria, thibitisha kwamba Kiswahili ni lugha ya kibantu.
2. Lugha ya Kiswahili imekumbana na ‘maadui’ na ‘marafiki’ katika harakati za maendeleo yake. Tathmini kauli hii.
3. Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza mbinu zinazotumiwa katika uundaji wa msamiati na istilahi katika lugha ya Kiswahili.
4. Tathmini mchango wa Katiba ya Kenya (2010) katika maendeleo ya Kiswahili.
5. Kiswahili ni lugha ya kimataifa. Thibitisha.
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
More Question Papers
Exams With Marking Schemes