Kisw 211: Sociolinguistics Question Paper

Kisw 211: Sociolinguistics 

Course:Shahada Ya Elimu

Institution: Chuka University question papers

Exam Year:2013





CHUKA

UNIVERSITY

UNIVERSITY EXAMINATIONS
MTIHANI WA MWAKA WA PILI SEMESTA YA KWANZA KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA ELIMU
KISW 211: SOCIOLINGUISTICS
STREAMS: BED (ARTS) Y2S1 SAA: 2 HOURS
SIKU/TAREHE: FRIDAY 19/4/2013 8.30 AM – 10.30 AM
MAAGIZO:

JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI

1. (a) Fafanua dhana zifuatazo: [Alama 10]

(i) Isimujamii
(ii) Lahaja
(iii) Lafudhi
(iv) Muktadha
(v) Lingua franka
(vi) Lugha rasmi
(vii) Kirioli
(viii) Pijini
(ix) Lugha ya taifa
(x) Isoglosia

(b) Jadili umuhimu wa somo la isimujamii kwa mwanafunzi wa Kiswahili.
[Alama 10]

(c) Pambanua jinsi isimujamii inavyohusiana na taaluma nyingine. [Alama 10]

2. Bainisha sifa za sajili ya mahakama. [Alama 20]

3. Fafanua umuhimu wa Kiswahili kama lingua franka ya Afrika Mashariki. [Alama 20

4. Eleza, kwa tafsili, tofauti iliyopo baina ya ‘upangaji wa lugha wa kongoo’ na ‘upangaji wa lugha wa hadhi. [Alama 20]

5. Eleza kwa ufupi nadharia kuhusu chimbuko la Sheng na upambanue umuhimu wake miongoni mwa vijana. [Alama 20]

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------








More Question Papers


Exams With Marking Schemes

Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers