Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks 200:Phonetics And Phonology Question Paper

Aks 200:Phonetics And Phonology 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Pwani University question papers

Exam Year:2014



Page 1 of 2

UNIVERSITY EXAMINATIONS 2013/2014 ACADEMIC YEAR
2
ND YEAR EXAMINATIONS FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION (ARTS)
COURSE CODE/ TITLE: AKS 200: PHONETICS AND PHONOLOGY
END OF SEMESTER I DURATION: 3 HRS
DAY/TIME: MONDAY 8.00AM – 11.00AM DATE: 9/12/2013
MAAGIZO:
i. Jibu swali la Kwanza na mengine yoyote mawili.
ii. Matini inayotumiwa kujibu swali moja isitumiwe kujibia swali jengine.
Swali la Kwanza
Fafanua aina za konsonanti zote za Kiswahili huku ukitoa mifano katika lugha ya
Kiswahili. (alama 26)
Swali la Pili
Kwa kurejelea wataalam mbalimbali jadili kwa kutoa mifano mitazamo mitatu ya fonimu.
(alama 22)
Swali la Tatu
Huku ukitoa mifano ya Kiswahili pambanua aina mbalimbali za silabi na udhihirishe
kwa kutumia vielelezo (michoro) matawi. (alama 22)
Swali la Nne
Fafanua kwa mifano mifanyiko ifuatayo kama inavyojitokeza katika lugha ya Kiswahili.
a) Usimilisho wa nazali
b) Muungano wa sauti
c) Uchopekaji wa sauti
d) Wiano wa vokali (alama 22)
Page 2 of 2
Swali la Tano
a) Kwa kutoa mifano, fafanua sifa zinazotumiwa katika kupambanua vokali za
Kiswahili. (alama 12)
b) Elezea sifa arudhi zifuatazo huku ukitoa mifano:
a) Mkazo
b) Kiimbo
c) Kidatu (alama 10)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers