Kisw 321 :Elimu Na Sayansi Ya Jamii Question Paper
Kisw 321 :Elimu Na Sayansi Ya Jamii
Course:Education
Institution: Kenya Methodist University question papers
Exam Year:2014
CHUO KIKUU CHA KIMETHODISTI, KENYA
MTIHANI WA MWISHO WA TREMESTA YA TATU, 2014
(MCHANA)
KITIVO : ELIMU NA SAYANSI YA JAMII
IDARA : ELIMU
KODI : KISW 321
ANWANI : MBINU ZA UTAFITI
MUDA : SAA MBILI
Maagizo
Jibu Maswali yoyote Matatu
Swali la Kwanza
Utafiti hutekelezwa kwa malengo kadha. Fafanua mawili kati ya malengo hayo.
(Al 4)
Utaratibu katika utafiti huhusisha hatua maalum. Eleza nne kati ya hatua hizo.
(Al 8)
Eleza umuhimu wa utafiti wa lugha na fasihi.
(Al 8)
Swali la Pili
Eleza tofauti tatu kuu kati ya utafiti was kiusomi na utafiti wa jumla.
(Al 6)
Ili kufanikisha utafiti wa nyanjani matayarisho ni muhimu kwa utafiti. Fafanua kauli hii ukirejelea matayarisho yoyote saba.
(Al 14)
Swali la Tatu
Fafanua dhana zifuatazo:
Utafiti wa kihistoria
(Al 2)
Utafiti wa kihalisia
(Al 2)
Utafiti wa kifasihi
(Al 2)
Fafanua changamoto zozote saba zinazomkabili mtafiti wa nyanjani ukitoa pendekezo moja la kutatua kila changamoto.
(Al 14)
Swali la Nne
Linganisha utafiti wa nyanjani na ule wa maktabani ukirejelea ubora wa udhaifu wa kila mmojawapo. (Al 20
Swali la Tano
Fafanua tofauti kumi zilizoko kati ya pendekezo la utafiti na ripoti ya utafiti. (Al 20)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers