Kisw 222:Mbinu Za Lugha Katika Kiswahili Question Paper
Kisw 222:Mbinu Za Lugha Katika Kiswahili
Course:Education
Institution: Kenya Methodist University question papers
Exam Year:2014
CHUO KIKUU CHA KIMETHODISTI, KENYA
MTIHANI WA MWISHO WA TREMESTA YA PILI, 2014
(MCHANA)
KITIVO : ELIMU NA SAYANSI YA JAMII
IDARA : ELIMU
KODI : KISW 222/024
ANWANI : MBINU ZA LUGHA KATIKA KISWAHILI
MUDA : SAA MBILI
Maagizo:
Jibu maswali yoyote matatu
Swali la Kwanza
Tunga sentensi mbili kwa kila alama ulizopewa ili kudhihirisha matumizi tofauti: (Al 20)
Alama za dukuduku
Paradesi
Ritifaa
Nukta pacha
Italiki
Swali la Pili
Eleza matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo: (Al 20)
Kistari kifupi
Mshazari
Herufi kubwa
Alama ya hisi
Mabano
Swali la Tatu
Fafanua muundo wa kumbukumbu za mukutano. (Al 20)
Swali la Nne
Jadili sifa tano za hotuba nzuri.
(Al 10)
Hotuba ina umuhimu gani katika jamii?
(Al 10)
Swali la Tano
Jadili umuhimu wa somo la ufahamu.
(Al 10)
Eleza hatua tano za kuzingatia katika kujibu maswali ya ufahamu. (Al 10)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers