Kisw 222:Mbinu Za Lugha Katika Kiswahili Question Paper
Kisw 222:Mbinu Za Lugha Katika Kiswahili
Course:Education
Institution: Kenya Methodist University question papers
Exam Year:2014
CHUO KIKUU CHA KIMETHODISTI, KENYA
MTIHANI WA MWISHO WA TREMESTA YA TATU, 2014
(MASOMO YA LIKIZO)
KITIVO : ELIMU NA SAYANSI YA JAMII
IDARA : ELIMU
KODI : KISW 222
ANWANI : MBINU ZA LUGHA KATIKA KISWAHILI
MUDA : SAA MBILI
Maagizo:
Jibu maswali yoyote matatu
Swali La Kwanza
Eleza vipengele vinne vinavyohusishwa katika mchakato wa mawasiliano.
(al. 8)
Fafanua sifa za mawanda yafuatayo ya mawasiliano:
Mawasiliano kisababisho.
(al. 4)
Mawasiliano shawishi.
(al. 4)
Mawasiliano makavu
(al. 4)
Swali La Pili
Tathmini umuhimu wa uakifishaji katika matamshi.
(al. 10)
Eleza matumizi ya alama hizi kwa kuzitolea mifano katika sentensi. (al. 10)
Nukta mbili
Alama ya kinyota
Alama za mnukuu
Alama ya maachwa
Kikomo
Swali La Tatu
Jadili hatua zinazotumika katika kujiandaa kwa kazi yoyote ya utunzi wa Insha.
(al. 10)
Onyesha jinsi unavyoweza kuwaelekeza wanafunzi kuandika barua rasmi.
(al. 10)
Swali La Nne
Jadili taratibu anazoweza kufuata mwalimu kufundisha ufahamu. (al. 20)
Swali La Tano
Eleza kwa kutolea mifano aina mbili kuu za uakifishaji.
(al. 8)
Fafanua miundo mitatu ya tanbihi katika maandishi.
(al. 6)
Eleza kauli tatu zinazoongoza uandishi wa marejeleo.
(al. 6)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers