Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks 202 :Language Skills In Kiswahili || Question Paper

Aks 202 :Language Skills In Kiswahili || 

Course:Bachelor Of Arts

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2013



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIO N 2012/2013
SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS202:LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI 11
DATE :TUESDAY 2ND APRIL 2013. TIME : 8.00A.M-10.00A.M
MAAGIZO:JIBU MASWALI MATATU .SWALI LA KWANZA NI LAZIMA

1a)Eleza umuhimu wa jalada katika uandishi wa insha za kiakademia.

b)Andaa mfano faafu wa jalada unaokidhi maelezo ya "a" hapo juu.(Alama24)

2.Fafanua mchango hasi wa mawasiliano ya kiteknolojia kwa lugha sanifu ya kiswahili.(Alama23)

3.Stadi ya usomaji ni muhimu kwa kukuza umahiri katika lugha .Jadili kauli hii huku ukieleza mambo muhimu ya kuzingatia katika kuimarisha stadi ya usomaji miongoni mwa wanafunzi wa Kiswahili.(Alama23)

4.Tathmini manufaa ya tafsiri kwa lugha ya Kiswahili. (Alama 23)

5.Matumizi ya tanbihi ni muhimu katika uandishi rasmi.Jadili huku ukifafanua mitindo mitatu mwafaka ya kizingatiwa katika uandishi wa tanbihi.(Alama23)

6.Taja na ufafanue sehemu zozote tano muhimu za pendekezo la utafiti wa kiakademia.(Alama23)






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers