Aks 303 :Contemporary Novel And Play Question Paper
Aks 303 :Contemporary Novel And Play
Course:Bachelor Of Arts
Institution: Kenyatta University question papers
Exam Year:2013
KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATIONS 2013/2014
FIRST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS
AKS 303 :6CONTEMPORARY NOVEL AND PLAY
DATE:TUESDAY 26TH NOVEMBER, 2013 TIME 4.30-6.30P.M
MAAGIZO : JIBU SWALI MOJA KUTOKA KILA SEHEMU
SEHEMU A
1.Kwa kurejelea tamthilia moja ya kozi,jadili sifa bainifu za tamthilia. (Alama 24)
2. Kwa kutoa mifano eleza dhana zifuatazo:
a)Riwaya
b)Riwaya pendwa
c)Riwaya ya kisaikolojia
d)Riwaya ya kipelelezi
e)Riwaya ya kisasa (Alama24)
SEHEMU B
3.Eleza tano za usawiri wa wahusika katika riwaya ya Kuli.(alama23)
4.Eleza mbinu za kimtindo zilizotumiwa na Clara Momanyi katika Nakuruto.(alama23)
SEHEMU C
5.Tathmini nafsi ya mwanamke katika tamthilia ya Natala.(alama23)
6.Dhamira na maudhui ni uti wa mgongo wa kazi ya Sanaa. Thibitisha kwa kurejelea tamthilia ya Kijiba cha Moyo.(Alama23)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes
Popular Exams
Mid Term Exams
End Term 1 Exams
End Term 3 Exams
Opener Exams
Full Set Exams
Return to Question Papers