Kis 110 Question Paper
Kis 110
Course:Misingi Ya Isimu Na Lugha Katika Kiswahili
Institution: Karatina University question papers
Exam Year:2014
KIS 110:MISINGI YA LUGHA NA ISIMU
MAAGIZO:JIBU SWALI LA KWANZA NA MENGINE MAWILI
1.(a)Elezea sifa bia tano za kugha kwa kutoa mifano mwafaka(alama 5).
(b)Elezea mambo matano yanayotambulisha dhana ya lugha(alama 10)
(c)Fafanua dhana zifuatazo za lugha:(alama 5)
i)lugha sanifu
ii)lugha mzazi
iii)lingua franka
iv)lahaja
v)lugha mame
d)Thibitisha kauli kwamba "isimu ni sayansi ya lugha"(alama 10)
2.(a)Fafanua nadharia tatu zinazoelezea chanzo cha lugha(alama 6)
(b)Elezea majukumu mbalimballi yanayotekelezwa na lugha ya binadamu(alama 14)
3.(a)Elezea kwa kutoa mifano aina tano za konsonanti(alama 10)
(b)Elezea huku ukitoa mifano jinsi unavyoweza kuainisha vokali za Kiswahili(alama 10)
4.Jadili kwa kutoa mifano tanzu zifuatazo za isimu(alama 20)
i. Fonologia
ii. Mofologia
iii. Sintaksia
iv. Semantiki
v. Pragmatiki
5.(a)Fafanua aina tatu za sentensi ya Kiswahili huku ukitoa maifano mwafaka(alama 6)
(b)Tofautisha dhana ya sikronia na daikronia kwa kutoa mifano mwafaka (alama 6)
(c)Fafanua ufaafu wa taaluma ya isimu katika jamii(alama 8)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes