Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Kis 200: Theory And Analysis Of Kiswahili Literature Question Paper

Kis 200: Theory And Analysis Of Kiswahili Literature 

Course:Bachelor Of Education Arts

Institution: Masinde Muliro University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2015




(University Of Choice)
MASINDE MULIRO UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
(MMUST)
MAIN CAMPUS/ MUMIAS
UNIVERSITY EXAMINATIONS
2015/2016 ACADEMIC YEAR
SECOND YEAR FIRST SEMESTER EXAMINATION
BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
COURSE CODE: KIS 200
COURSE TITLE: THEORY AND ANALYSIS OF KISWAHILI LITERATURE
DATE: MONDAY 14TH DECEMBER, 2015 TIME: 4.00 PM – 7.00 PM

INSTRUCTION TO CANDIDATES
Question ONE is compulsory
Answer FOUR questions



MMUST observes ZERO tolerance to examination cheating


1. a) Nadharia haina manufaa katika uhakiki wa kazi za fasihi ya Kiswahili. Jadili (Alama 5)
b) Huku ukitoa mifano, fafanua mikabala ya uainishaji wa nadharia za fasihi (Alama 5 )
c) Jadili mambo yanayozingatiwa na mhakiki katika kuhakiki kazi za fasihi (Alama 15)
2. ‘Euphrase Kezilahabi amedhihirisha udhanaishi wa Kiafrika katika kazi zake za kifasihi’ Huku ukitolea mifano katika kazi zake mbili zozote jadili hoja hii (Alama 15)
3. Kwa kurejelea riwaya moja ya Kiswahili, jadili namna mihimili yoyote mitano ya nadharia ya Umaskini inavyojitokeza katika Jamii husika ya kifasihi (Alama 15)
4. Kwa kurejelea riwaya kazi yoyote ulioisoma, eleza namna nadharia ya ufeministi inavyojitokeza akatika uhakiki wa fasihi ya karne ya ishirini na moja (Alama 15)
5. Hakiki maaaudhui yoyote matano yanayojitokeza katika mojawapo ya kazi za fasihi zifuatazo
Kichomi (E. Kezilahabi)
Sauti ya Dhiki (A.Abdala
KIlio cha Haki (A.Mazrui)
Amezidi (S.A Mohamed)
Vipuli vya Figo (E.Mbogo)
Kiu (S.A. Mohamed) (Alama 15)
6. Tathmini namna ndharia ya urasmi mpya ama umuundo inavyoweza kutumiwa katika uhakiki wa fasihi ya Kiswahili (Alama 15)
i. Utengano (S.A Mohamed)
ii. Kidagaa Kimemwozea (K. Walibora)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers