Get premium membership and access revision papers, questions with answers as well as video lessons.

Aks 100 Introduction To The Study Of Language Question Paper

Aks 100 Introduction To The Study Of Language 

Course:Bacherlor Of Education

Institution: Kenyatta University question papers

Exam Year:2010



KENYATTA UNIVERSITY
UNIVERSITY EXAMINATION 2010/2011
EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF ARTS AND BACHELOR
OF EDUCATION
AKS 100:INTRODUCTION TO THE STUDY OF LANGUAGE

MAAGIZO:JIBU MASWALI MATATU.SWALI LA KWANZA NI LA LAZIMA


1.Lugha ni sifa ya binadamu pekee.Fafanua kauli hii
2.Dihirisha tofauti iliyopo kati ya dhana zifuatazo
a.unasibu na unamatopea

b.umilisi na utendaji

mtindo pekee na lahaja

3.Eleza athari zozote nne zinazoibuka katika jamii yenye wingi-lugha

4.Eleza na uthamini nadharia ya kisasa kuhusu asili ya lugha
5.Onyesha umuhimu wa isimu katika jamii kwa kutoa mifano mwfaka






More Question Papers


Popular Exams



Return to Question Papers