Aks 411: Language Skills In Kiswahili Question Paper
Aks 411: Language Skills In Kiswahili
Course:
Institution: The Presbyterian University Of East Africa question papers
Exam Year:2014
THE PRESBYTERIAN UNIVERSITY OF EAST AFRICA
DEPARTMENT OF EDUCATION
END OF SEMESTER EXAMINATION
AKS 111: LANGUAGE SKILLS IN KISWAHILI
CAMPUS: KIKUYU DATE: APRIL 2014 TIME:
JIBU SWALI LA KWANZA NA MASWALI MENGINE MAWILI
1. A) Eleza maana ya mawasiliano ( alama 2)
b) Fafanua vipengele vitano vya kuzingatia wakati wa mawasiliano ( alama 10)
c) Onyesha matumizi ya alama zifuatazo za uakifishi kwa kutoa mifano mwafaka
i) Nukta ( alama 2)
Ii) Nukta Mbili ( alama 2)
Iii) Mkato ( alama 2)
Iv) Mtajo ( alama2)
d) Eleza vipengele vitano vya kuzingatia unapotafsiri makala ( alama 10)
2. a) Fafanua matumizi matano ya muhtasari ( alama 5)
b) Jadili hatua za kuzingatia unapoandika muhtasari ( alama 10)
3. a) Eleza sifa tano kwa kila mojawapo ya regista zifuatazo
i) Biashara ( alama 5)
ii) Sheria ( alama 5)
iii) siyansi ( alama 5)
4. a) Fafanua mambo matano ya kuzingatia katika kuandika barua rasmi( alama 5)
b) Jadili mambo matano ya kuzingatia unapoandika ripoti ( alama 10)
5. a)Fafanua aina tano za insha ( alama 5)
b) Jadili vigezo vitano vya kuzingatia wakati wa kutoa hotuba ( alama 10)
More Question Papers
Exams With Marking Schemes