102/1 :Kiswahili Paper 1 Question Paper
102/1 :Kiswahili Paper 1
Course:Secondary Level
Institution: Kcse question papers
Exam Year:2007
102/1
KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
INSHA
SEPTEMBER 2007
MUDA: SAA MOJA NA ROBO
TATHMINI YA PAMOJA YA MARINGO
HATI YA KUHITIMU KISOMO CHA SEKONDARI (K.C.S.E 2007)
MAAGIZO
- Andika insha mbili.
- Insha ya kwanza ni ya lazima. Kisha chagua insha moja nyingine kati ya hiyo tatu zilizosalie.
- Kila insha isipungue maneno mia nne (400).
- Kila insha ina alama 20.
1. Andika mahojiano baina ya Afisa Mkuu ya Polisi na waandishi ya Habari kuhusu jinsi ya kuzuia ufisadi nchini.
2. Padogo pako si pakubwa pa mwenzio.
3. Ni hatua gani zinazofaa kuchukuliwa ili kuleta usawa wa kijinsia?
4. Utamaduni una mchango gani katika kuenea kwa ugonjwa wa ukimwi.
5. Andika insha itakayomalizika na "... Alianza kubabaika. Kijasho kikaanza kumtoka kwapani. Nikatambua moja kwa moja kuwa yeye ndiye mkosa."
More Question Papers
Exams With Marking Schemes