Kcse 2015 Kiswahili Karatasi 1 Question Paper

Kcse 2015 Kiswahili Karatasi 1 

Course:Kiswahili

Institution: Kcse question papers

Exam Year:2015



KISWAHILI
Karatasi ya 1
INSHA
OKT/Nov. 2015
Muda: Saa 1 ¾
Maagizo
(i) Andika insha mbili.
Insha ya kwanza ni ya lazima

(ii) Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia
(iii) Kila insha isipungue maneno 400
(iv) Kila insha ina alama 20
(v) Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili
(vi) Insha zote sharti ziandikwe katika kijitabu cha majibu ulichopewa
(vii) Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa
(viii) Watahiniwa ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.

1. Lazima
Wewe ni katibu wa jopokazi lililoteuliwa kuchunguza vyanzo vya ongezeko la visa vya wanafunzi katika eneo la Tekeleza kuacha shule kabla ya kukamilisha masomo yao.
Andika ripoti ya uchunguzi huo.

2. Andika insha kuhusu umuhimu wa tamasha za muziki katika maisha ya vijana.
3. Tunga kisa kitachodhihirisha maana ya methali ifuatayo:
Usipoziba ufa utajenga ukuta.

4. Tunga kisa kinachoanza kwa maneno yafuatayo:
Nilimtazama kwa muda. Macho yake yalijaa machozi ya furaha na majonzi…….






More Question Papers


Exams With Marking Schemes

Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers