Introduction To The History Of Kiswahili Question Paper

Introduction To The History Of Kiswahili 

Course:Bachelor Of Education (Arts)

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2013



JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
UNIVERSITY EXAMINATION 2013
1ST YEAR 2ND SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION ARTS WITH IT (KISII)
COURSE CODE: AKI 102
TITLE: INTRODUCTION TO THE HISTORY OF KISWAHILI
DATE: TIME: DURATION: 2 HOURS
INSTRUCTIONS
1. This paper contains FIVE (5) questions
2. Answer question 1 (Compulsory) and ANY other 2 Questions
3. Write all answers in the booklet provided

1. Huku ukitoa mifano mahususi, thibitisha kwamba Kiswahili ni lugha ya asili
ya kibantu (alama 30)

2. Fafanua kwa kutoa mifano hali zinazoodhihirisha kwamba Kiswahli si:-
i) Lahaja ya Kiarabu
ii) Mseto wa lugha mbali mbali (alama 20)

3. Eleza hali mbali zilizochangia katika kuenea kwa lugha ya Kiswahili katika
eneo la Africa Mashariki (alama 20)

4. Sera za kikoloni zilichangia vipi katika maendeleo ya lugha ya Kiswahili
nchini Tanzania na kudhalilishwa kwake nchini Kenya na Uganda?
(alama 20)

5. Kwa kutumia ithibati ya tamaduni za kijamii, thibitisha maoni
kwamba lugha ya Kiswahili inatokana na Kibantu. (alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers