Kiswahili Novel Question Paper

Kiswahili Novel 

Course:Bachelor Of Education

Institution: Jaramogi Oginga Odinga University Of Science And Technology question papers

Exam Year:2013



JARAMOGI OGINGA ODINGA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
UNIVERSITY EXAMINATION 2013
3RD YEAR 1ST SEMESTER EXAMINATION FOR THE DEGREE OF BACHELOR OF
EDUCATION ARTS WITH IT (REGULAR)
COURSE CODE: AKI 305
TITLE: KISWAHILI NOVEL
DATE: TIME: DURATION: 2 HOURS
INSTRUCTIONS
1. This paper contains FIVE (5) questions
2. Answer question 1 (Compulsory) and ANY other 2 Questions
3. Write all answers in the booklet provided

1.. Fafanua chanzo na maendeleo ya riwaya ya Kiswahili. (alama 30)

2.”Novela ina nafasi katika jamii ya kisasa.” Thibitisha rai hii huku ukirejelea novela ya
(a) Mui Huwa Mwema (1978) ya Ali Jamaadar Au
(b)Lila na Fila yake Kiimbila. (alama20)

3. Jadili nafasi ya nadharia ya Uhakiki Kike katika riwaya ya Nakuruto (2009) iliyotungwa na
Clara Momanyi. (alama 20)

4.”Adam Shafi anaangazia dhiki zilizowakumba makuli wa Zanzibar 1948.” Tathmini maoni
haya kwa kurejelea riwaya ya Kuli (2005) (alama 20)

5. Jadili mtindo kama ulivyojitokeza katika riwaya ya Kufa Kuzikana (2003) ya Ken Walibora.
Toa mifano isiyopungua mitano. (alama 20)






More Question Papers


Popular Exams


Mid Term Exams

End Term 1 Exams

End Term 3 Exams

Opener Exams

Full Set Exams



Return to Question Papers